Thursday, December 20, 2012
DIAMOND AMCHARUKIA PNC KUHUSU KUTAJWA KUA AMEBUMA
Msanii mashuhuri hapa bongo DIAMOND amemind na kuponda msanii PNC baada ya kutajwa ndani ya track yake PNC inayoitwa IMEBUMA.PNC naye kamchana live diamond katika interview na capital radio ambapo kasema diamond ni msanii ambaye kaingia kwenye game siku hizi so hatakiwi kukaa katika media na kusema kua kamtaja jina lake ili apate rizki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment