Mwili wa dereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda aliyechinjwa na kunyang"anywa pikipiki uliokotwa katika maeneo ya nyankanga nje kudogo ya mjini wa musoma ukipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya mkoa wa mara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment