Thursday, July 11, 2013
FUNDRISING KUFANA LEO HII KATIKA CHUO CHA BUGANDO
Leo hii tarehe 12/07/2013 kuanzia saa 4 asubuhi katika chuo kikuu cha CUHAS BUGANDO kutakua na event ya kufanya fund rising kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa litakalo gharim shiling bilion 1.3 aidha mida ya jion event itamalizikia Gold crest katika ukumbi wa mwalim nyerere.
kwa taarifa kutoka kwa DVC prof mahalu leo hii shughuli za masomo kwa wanafunzi zitasitishwa ili kuwapa fursa watumish na wanafunzi wa CUHAS kushiriki katika hafla hiyo
SISI kama BUGANDO BLOG tutakua katika viwanja vyote vya bugando na mwisho jioni tutakua katika ukumbi wa GOLD CREST kuhakikisha tunakupa kila kitu wewe mwana cuhas
ahsante sana karibu sana MH BENJEMIL WILLIAM MKAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment