huyu ndiye mussa mdede ambaye leo hii kashinda kwa asilimia 66.1 dhidi ya mpinzani wake tino hivyo kua raisi mteule wa chuo cha tiba ya afya ya binadam bugando
shangwe zilianza mchana ambapo msafara wa magali kadhaa ukiwa katika viwanja vya hostel ukisubir kumzungusha mheshimiwa katika viunga vyote vya mji wa mwanzawadau akina rajabu wakisubir matokeo
sasa mdede akishuka kusalimiana na watu wengi waliokua wakimsubi huko ground flor
mdau chid na mkotya wakifatilia kwa umakini
kasanda ,domi na edrick wa ki serebuka
watu ni shangwweeeee
kisigo alitoa swaport kubwa mwanzo mwisho
mdede na makamu wake atukuzwe wakiwa juu ya gari wakiwapungia wanafunz mikono ya shukrani
baada ya hapo ikapigwa bonge la disco fumbi aka disco marapa ..then mida watu tukakutana club fusion kufanya summary
0 comments:
Post a Comment