Tuesday, March 5, 2013
MPANGO MZIMA WA TOUR YA BUGANDO TO SERENGETI UKO HIVI...
Kwa wale ambao hawajajua mpango mzima wa jinsi ya kwenda serengeti ni kwamba safari itakuwa jumamosi tarehe 9 ambapo unatakiwa kulipia sh 35000/= kwenda na kurudi na malazi na tour guide inakuwa covered katika hiyo gharama.wasiliana na mussa mdede au ,mayengo peter sim namba +255765815179 wahi mapema mzazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tumekupata
ReplyDelete