Social Icons

BURUDANI SIKU ZOTE

Sample Text

Wednesday, January 2, 2013

TAHARUKI YA ZUKA HUKO TABATA NYUMBANI KWA MAREHEM SAJUKI


ANGALIA PICHA;TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR

 Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
 Baba mzazi  wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu na jamaa msibani hapo.…
 Dada wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.


Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
(PICHA NA HAMIDA HASSAN / GPL)

0 comments:

Post a Comment


TUPE SHAVU LAKO FACEBOOK

 

Blogger news

Blogroll

About

This blog is all about providing the correct information from Tanzania and out side the border of Tanzania,the target group is the university and collages student. BURNING ISSUE is all about the hottest news thats hits on that time in Tanzania.