Social Icons

BURUDANI SIKU ZOTE

Sample Text

Monday, December 17, 2012

HII NDO VIDEO IKIONYESHA JINSI MASHOGA NA WASAGAJI WALIVYOPEWA TUZO NCHINI KENYA WEEKEND HII.




Polisi wa Kenya wametoa kibali kabisa kwa tukio kama hili kufanyika ambapo ni utoaji wa tuzo weekend hii kwa watu kadhaa wa jinsia zote wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja yani mashoga na wasagaji, kwa Kenya sasa hivi hili ndio gumzo.


0 comments:

Post a Comment


TUPE SHAVU LAKO FACEBOOK

 

Blogger news

Blogroll

About

This blog is all about providing the correct information from Tanzania and out side the border of Tanzania,the target group is the university and collages student. BURNING ISSUE is all about the hottest news thats hits on that time in Tanzania.