Tukio hili la kusikitisha mno limetokea huko Ncini kenya hivi karibuni ambapo kijana mmoja alijikuta akiingia katika matatizo mazito akiwa katikati ya wananchi wenye hasira kali mara baada ya kumbaini kuwa alimlawiti na kumbaka bibi kizee wa miaka 80!!!! Hii ni laana nzito kabisa iliwafanya watu kukosa uvumilvu wa nafsi na kuamua mkushambulia kijana huyo ambaye juhudi zza Polisi kutaka kuunusuru uhai wake uligonga mwamba kwani mwisho wa siku alipoteza maisha mikononi mwa wananchi hao ambao walionekana kuchoshwa na matendo ya Ubakaji.
Akitusimulia mkasa huo mzito, mwandishi wetu ambaye yupo Nchini humo anadai ya kuwa Katika kijiji cha KICHACHA ndipo lilipotokea tukio hilo ambapo bibi mmoja ambae jina tunalihifadhi alipovamiwa na vijana wawili nyumbani kwake na kumdai Kshs 15000 na kumfanyia kitendo hicho cha aibu cha Ubakaji.... Kwa bahati nzuri katika purukushani za hapa na pale bibi huyo alifanikiwa kubonyeza AAlarm ya kuashiria Htari ndipo vijana hao walipoamua kutimua Mbio......
Lakaini bahati haikuwa yao vijana hao kwani walipojaribu kukimbia walikamatwa na wananchi ambao walisikia makelele ya bibi wakati akibakwa na ndipo walipoanza kuwapigwa kwa mawe na kuwajeruhi vibaya mno kampicha inavyoonesha hapo juu ... mmoja wao alibahatika kunuriwa na POLISI lakini mwingine alifariki hapo hapo....
0 comments:
Post a Comment