Social Icons

BURUDANI SIKU ZOTE

Sample Text

Sunday, December 16, 2012

WANAFUNZI WANNE WAPIGWA NA KUCHOMWA MOTO



Huu  ni unyama uliotendwa na  wanakijiji kwa  wanafunzi wanne  wa chuo kikuu  cha UNIPORT  kwa tuhuma  za  wizi wa simu ......

Wanafunzi hao walifikia  hitimisho la maisha  ya  hapa duniani  baada  ya kupewa  kichapo kikali na  kisha kuchomwa moto.........

Mwenyezi mungu  awapumzishekwa amani......

Kama ilivyo kawaida yetu Blog hii inaendelea kukupa habari moto moto,  hatuongei sana LEO sana sana tunakuachia na wewe uwe shahidi wetu...


 

0 comments:

Post a Comment


TUPE SHAVU LAKO FACEBOOK

 

Blogger news

Blogroll

About

This blog is all about providing the correct information from Tanzania and out side the border of Tanzania,the target group is the university and collages student. BURNING ISSUE is all about the hottest news thats hits on that time in Tanzania.