Tuesday, December 18, 2012
ANASWA NA NDUMBA MAHAKAMA YA KISUTU
Pichani ni mganga wa kienyeji aliyefahamika kaw jina la RAJABU ZUBERI (30), mkazi wa Kerege, Muheza, Tanga, akiwa chini ya ulinzi wa Wanausalama leo saa mbili asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, baada kifaa cha upekuzi kumnasa mganga huyo akiwa na vifaa vyake vya uganga ambavyo alikuwa amekuja navyo mahakamani hapo kwa ajili ya kufanyia mambo ya kishirikina katika kesi moja inayomkabili mmoja wa washtakiwa mahakamani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment