Sunday, December 16, 2012
ALICHOKISEMA MWENYEKITI WA CCM CHUO KIKUU BUGANDO
Tulijadili haya na kufikia MAAZIMIO juu ya kuyaendea haya na kuyafanyia kazi, tukagawana majukumu kila mmoja kulingana na nafasi yake katika Chama.
Ni ajabu leo wanapotokea watu wanaodai kuwa tulikubaliana na kuweka mikakati ya kumdhoofisha BABU, hawa ni wale wanaohaha kumtetea BABU na kuhalalisha alichokifanya, Hakukuwa na hakuna sababu ya kujadili watu kama ajenda ktk vikao vyetu, tukiwa kama chama tawala, tunashughulishwa zaidi na kero za wananchi wetu.
Lakini itakuwa haina maana ikiwa baadhi ya wakosefu katika sisi watataka kuwa kama watukufu, wasikosolewe wala wasijirekebishe.,ni busara iliyo wazi na lingelikuwa jambo lenye heshima kama BABU angeliamua kupumzika Siasa na kuanza kulea familia yake mpya...!
"..UMOJA NI USHINDI.."
NAPE NNAUYE -KATIBU UENEZI CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment