Ni huko nchini nigaeria jamaa mmoja mwenye miaka kati ya 25-35 kakamatwa akiwa na viungo vya binadam ambapo hakuweza kueleza kama viungo hivyo huvipata kwa kuwaua watu wakiwa wazima au huvipata kwa kuwafukua na kuwaua kisha kuweza kuuza sehem za mwili.picha ifutayo inahusu stori nzima
0 comments:
Post a Comment