Thursday, March 14, 2013
PICHA JINSI 2 FACE NA MKEWE ANNIE WALIVYOPATA ZAWADI YA TOYOTA PRADO
Hivi majuzi 2 face na mkewe walikuwa na patty huko jijini lagos nchini nigeria ambapo walialikwa ndugu marafiki kibao katika hafla hiyo lakini suprize ikawa pale ambapo Gavaba mmoja wa jimbo maarufu huko nigeria kutoa zawadi ya brand new YOTOTA PRADO yenye zaid ya shiling MIL 70 za k tz.na kuahidi kuhost zaidi ya watu 30 huko dubai ambapo kutakua na patty baab kubwa ya 2 face na mkewe annie.ambao wamekuwa wakiitwa the hootest couple in nigeria .hongera cuplezzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment